Korea Kaskazini imesema Marekani..
Korea Kaskazini imesema Marekani haina haki ya kuikosoa China kuhusu Sheria mpya ya usalama wa Taifa kwa Hongkong wakati Marekani inatishia kufungulia mbwa wa vita kwa waandamanaji wanaopinga mauaji ya Floyd. “Marekani ndio kinara wa kuvunja Haki za Binadamu,waache kuisema China”
