Tokyo yahofia wimbi la tano la corona mwezi mmoja kabla ya ufunguzi wa michezo ya Olimpiki


 Ongezeko la maambukizi Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya Michezo ya Olimpiki

Ishara kuwa visa vimeongezeka zilionekana siku chache baada ya Serikali kuondoa hali ya hatari Tokyo na Mikoa mingine 9, licha ya kuwepo ushahidi wa maambukizi kutopungua

Japan imerekodi visa vipatavyo 800,000 na vifo 14,700 tangu kuanza kwa Janga la COVID-19

Post a Comment

Previous Post Next Post