Katika kupambana na maambukizi ya Wimbi la Tatu la #COVID19, Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema hakuna mgeni atakayeruhusiwa kuingia bila kuwa na cheti ya kuthibitisha kutokuwa na maambukizi
Wizara ya Afya imewataka Wananchi kuchukua tahadhari ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa, kutumia vitakasa mikono na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima