Top News

Rais Samia afunguka ‘Toka asubuhi nasikia sauti ya Hayati Magufuli, ameniachia urithi mzito’

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo FEB 9, 2022 ameshiriki uwekaji wa jiwe la msingi katika barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (km 112.3).

Katika uzinduzi huo amezungumzia utendaji kazi wa hayati Magufuli juu ya Kuendeleza miradi mikubwa ikiwemo ya mkoani Dodoma ili kuendeleza hadhi ya makao makuu iliyoanzishwa na mtangulizi wake ya kutekeleza maono ya baba wa Taifa na ameahidi kutekeleza mawazo aliyoyaanzisha hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichokizungumza Rais Samia katika hafla hiyo kuhusu Hayati Magufuli.


 

Post a Comment

Previous Post Next Post