Trending RONALDO NA FAMILIA WATOA SHUKRANI...

0

 Siku chache baada ya Cristiano Ronaldo kutangaza kupoteza mtoto ambaye mkewe amejingu kati ya wawili ambao ni mapacha nyota huyo wa kusakata kabumbu duniani ametoa shukrani kwa watu wote waliotuma salama za pole.


Amesema kwa sasa wamerejea nyumbani na binti yao pacha aliyemzima kuungana na familia huku akishukuru kwa upendo na heshima ambayo familia yake imepewa.
Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha follow blog hii apo juu👆👆👆👆👆

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable