UEFA yapanga droo, Benzema na Ancelotti waondoka na tuzo

 

Shirikisho la mpira wa miguu Ulaya (UEFA) wamepanga droo ya makundi ya UEFA Champions League 2022/2023, unadhani Kundi gani gumu hapo, ambapo makundi yapo 8 lakini Kundi C alilopo FC Barcelona, FC Bayern, Inter Milan pamoja na Pizen ndio linatajwa kuwa Kundi la kifo.

Staa wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ufaransa Karim Benzema ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa UEFA 2021/2022, Benzema ni miongoni mwa wachezaji muhimu wa Real Madrid na wamesaidid kutwaa Ubingwa wa UEFA katika msimu huo.

Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti ametangazwa kuwa Kocha bora wa mwaka wa UEFA 2021/2022, Ancelotti ameisaidia Real Madrid kutwaa Ubingwa wa UEFA.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post