CHADEMA WAOMBA TANESCO IANGALIWE

0

 #HABARI Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial  mkoa wa Mara, kimeiomba serikali kuangalia upya mifumo ya uendeshaji wa Shirika la Umeme (TANESCO) ili kudhibiti tatizo la umeme kukatika mara kwa mara.



Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Mara, Lucas Ngoto, ametoa rai hiyo na kusema mtanziko wa huduma ya umeme unaoshuhudiwa hivi sasa unapaswa kudhibitiwa haraka, ili kuepusha hasara ya kiuchumi inayoweza kurekodiwa.


#EastAfricaRadio

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable