Nyota Wa Muziki Africa Na CEO Wa Label Ya #WCB @diamondplatnumz 🦁 Ameonesha Cheni Mpya Ya @officialzuchu
#DiamondPlatnumz Ame-Share Video Fupi Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram (Insta-Story) Ilimuonesha Zuchu Akiwa Amevaa Cheni Hiyo Na Kuandika Kuwa Thamani Yake Ni Dola elfu 40 Sawa Na TSH.MILIONI 94/=
Cheni Hiyo Mpya Ni Customized "Tengenezo Maalum" Kwa Ajili Ya #Zuchu Iliyonakshiwa Kwa Madini Ya Almasi 💎
JE, Wewe Unavaa Cheni Ya Kiasi Gani Cha Pesa 💸 ?
#AfricaIsWatching #WasafiDigital
