Mchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40

0

 


Mchungaji wa Msumbiji amefariki dunia baada ya kufunga kwa siku 40 akijaribu kufikia rekodi iliyofikiwa na Yesu kwenye Mlima wa Mizeituni wa Biblia.
-
Kifo cha Francisco Barajah, mchungaji na mwanzilishi wa Kanisa la Kiinjili la Santa Trindade katika jimbo la kati la Manica, kilithibitishwa Jumatano.
-
Alifariki alipokuwa akitibiwa katika hospitali ya Beira ambako alihamishwa akiwa katika hali mbaya.
-
Baada ya siku 25 za kufunga, alikuwa amepungua uzito sana hadi hakuweza kusimama, kuoga au kutembea

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable