UYO DIAMOND MNAVYO MTUKUZA MNAMFANYA KAMA MUNGU MTU

0

 





Bondia Karim Mandonga akihojiwa na Moja ya Chombo Cha Habari Ameomba  kukutana na Msanii Diamondplatnumz SIMBA..!🦁


Mandonga ameeleza kuwa kuna mengi sana anataka kumueleza Diamond na kutoa kinyongo chake ili awe na furaha maana hawezi kuyaongea Mambo yaote hadharani.


Pia ameeleza kukerwa na kauli ya @sallam_sk kuwa aangalie asisindikeze watu kwenye utajiri.


NGOJA NINYAMAZE TU MAANA NIKIONGEA SANA NAONEKANA MMBEAAAA MIEEEE 👌


Aliye post 

ni admin wangu 👉 Djparty On Mix

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable