VIGONGO VYA YANGA KWA MWEZI HUU VIMEKAA NAMNA HII…WAKITELEZA KIDOGO TU IMEKULA KWAO…
0benMarch 02, 2023
VIGONGO VYA YANGA KWA MWEZI HUU VIMEKAA NAMNA HII…WAKITELEZA KIDOGO TU IMEKULA KWAO…
[the_ad id="25893"]
Ni Machi Mosi 2023 ikiwa ni ukurasa mwingine ambao unaanza kufunguliwa kwa sasa. Wananchi wao wana kazi kwenye anga la kitaifa na kimataifa na wana vigongo vya kucheza kusaka ushindi.
Hivi hapa vigongo vya Wananchi yonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ndani ya Machi zipo namna hii:-
Yanga v Prisons Machi 3 huu ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.
Yanga v Real Bamako Machi 8,2023 huu ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi.
Wananchi v Geita Gold, itakuwa ni Machi 12, huu ni wa Ligi Kuu Bara.
Yanga v US Monastir itakuwa ni Machi 19 Uwanja wa Mkapa huu ni wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.
Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable