Inawezekana uwa unajiuliza ni zipi shule ghali zaidi Afrika kwa kipindi kirefu sasa,Usijali ukurasa wetu leo tunakujuza shule kumi ghali zaidi katika ukanda wetu wa Afrika pamoja na Ada zake;
10. American international school,Zambia (annual fee 22,070$)
9.Hilton college,South Africa (Annual fee 22,596$)
8.International Community school of Abidjan,Ivory Coast (Annual fee 23,400$)
7.Lincoln community school,Ghana (Annual fee 26,276$)
6.Cairo American college,Egypt (Annual fee 26,500$)
5.Kampala International school,Uganda ( Annual fee 26,918$)
4.Al farouk language school,Egypt (Annual fee 28,783$)
3.International school of kenya,Kenya (Annual fee 31,142$)
2.American international school,Nigeria (Annual fee
31,228$)
1.International school of Tanganyika,Tanzania (Annual fee 32,000$)