"Lazima tushinde, ni muhimu sana kupata alama tatu kesho sababu kwenye hili kundi ili kufika robo fainali tunahitaji alama 11 hivyo ni muhimu sana kushinda. Kwa nilichokiona kwenye mazoezi kwa siku hizi tupo vizuri."- Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Didier Gomes akizungumzia maandalizi ya mchezo wa #TotalCAFCL kesho dhidi ya Al Merrikh
