Facebook imetangaza rasmi inafanya maboresho na itaanza kuweka matangazo katika video zenye urefu wa dakika moja na kugawana faida na wenye maudhui.

0

Facebook imetangaza rasmi inafanya maboresho na itaanza kuweka matangazo katika video zenye urefu wa dakika moja na kugawana faida na wenye maudhui.
Mwanzo ilikuwa katika video zenye dakika 3 ndio zinaweza kupata matangazo. Katika mabadiliko mapya FB itakuwa inaweka matangazo hata katika video zenye urefu wa dakika moja, ni njia ya kushindana na soko TikTok!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable