
Africa to the World
Baada ya Wizkid kushinda video bora ya mwaka, Burna Boy anainyanyua tena Africa kwenye tuzo za Grammy baada ya album yake ya Twice As Tall kuibuka album bora ya mwaka Grammy 2021.
Kati ya machache aliyozungumza Burna Boy baada ya ushindi huo, Burna ameeleza kuwa chochote kinawezakana haijalishi wapi ulipo Duniani.
•