"Nimeandika hiki kitabu kwasababu nimetaka Watoto na Wakubwa wapitie kama somo, nimeandika kitabu kwasababu kinaweza kudumu zaidi ya kipindi cha Radio au TV Show, shows zinaweza kuwepo kwa siku moja kisha ikaenda zake, Kitabu kinadumu muda mrefu.
Nadhani kitabu changu kitawasaidia watoto wote kwa wakubwa na natumai mtakipenda. Shukrani kwa ASAS kwa kusapoti, kitabu changu, shukrani kwa Mama kwa kukipangilia kitabu changu, asante kwa Walimu wangu kwa kunifundisha yote haya na asante kwa Baba yangu kwa kunisapoti kufanya yote haya" -JuhJuh
