Ligi Kuu ya Vijana U20 kuendelea Jumatano hii.
Tanzania Prisons kuwakaribisha Simba SC. Je pira gwaride, pira kwata kuendelea na kwa vijana?
Coastal Union kuumana na Wananchi Yanga SC. Je kile kilichotokea wananchi wakubwa kutokea tena kwa vijana?
Azam FC wakiwa wameshinda mchezo uliopita kuwakaribisha Namungo FC waliopoteza mchezo uliopita. Je, Namungo kupoteza tena ama wataondoka na alama 3?