Madereva wa Daladala Jijini Mbeya wamefanya mgomo leo wenye lengo la kuishinikiza Serikali kuziondoa Bajaji katika Barabara zilizoainishwa kuwa ni maalum kwa matumizi ya Daladala.
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Denis Daudi amesema tayari wanazo taarifa hizo za mgomo na wanapambana ili kumaliza mgogoro huo.
Kwa sasa Madereva Bodaboda wameendelea kutumia fursa hiyo kusafirisha Abiria huku bei kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
#MillardAyoUPDATES
