SERIKALI YASHAURIWA KUTOZA KODI BIASHARA ZA MITANDAONI
0
March 17, 2021
SERIKALI YASHAURIWA KUTOZA KODI BIASHARA ZA MITANDAONI: Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Sillo Baran amesema huu ni wakati muafaka kwa Serikali kuendelea kutafuta vyanzo zaidi vya mapato ya ndani ikiwemo kuanza kutoza kodi biashara za mtandaoni kitu kitakachoepusha nchi kushindwa kutekeleza bajeti mara Washirika wa Maendeleo wanapoacha kutoa fedha.
Tags
