#TheEmiratesFACup hatua ya robo fainali kuchezwa wikiendi hii.
Timu za jiji la Manchester zote zitakuwa viwanja vya ugenini.
Manchester City watakuwa Goodson Park kuwavaa wenyeji Everton wakati Manchster United watakuwa King Power dhidi ya Leicester City.
Je unadhani nani atafuzu kwa hatua ya nusu fainali?
Kwa kifurushi cha 9,000 kwa wiki au 20,000 kwa mwezi unatazama mechi hizi.