MASWALI NA MAJIBU BUNGENI

0




SWALI: "Kwanini serikali isijenge nyumba ambazo watakuwa wanaweka mkataba kwa wabunge kila baada ya miaka mitano ambao wanaendelea wataendelea kukaa kwenye nyumba hizo lakini ambao watakuwa hawaendelei basi wabunge wapya watakaa kwenye hizo nyumba"- Vita Kawawa
JIBU: "Tumekuja kugundua kuna baadhi ya watu nyumba zao wanapangisha wanabaki na hizi za serikali sababu gharama zake ni ndogo, tumetoa maelekezo kwa TBA wapitie kama kuna mtu alikuwa ni Mbunge au mtumishi wa serikali na ameshamaliza muda wake ile nyumba inapaswa irejeshwe hizi nyumba zinapaswa kutumiwa na viongzi waliopo kwa wakati huo, Wazo lako Mh. Mbunge tumelipokea tutalifanyia kazi "- Mwita Waitara Naibu Waziri

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable