Star wa Mchezo wa mieleka @johncena amechukua hatua ya kuiomba msamaha China 🇨🇳 kwa kupataja "Taiwan" kama Nchi

0



Star wa Mchezo wa mieleka @johncena amechukua hatua ya kuiomba msamaha China
🇨🇳 kwa kupataja "Taiwan" kama Nchi
Kauli hiyo imechukuliwa na kutafsiriwa kwenda kinyume au tofauti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika za sheria
Kitendo hicho kimefuata baada ya Star huyu kuinadi filamu aliyoshiriki ya Fast & Furious inayotarajiwa kuingia sokoni siku za hivi karibuni
Hivyo @johncena ali-tuma ujumbe wa msamaha kwa njia ya video kwenye mitandao ya kijamii kwa kuliomba radhi taifa la china kwa kile kilichotafsiriwa kuwa ni tofauti na kanuni kwa kuiita "Taiwan" ni nchi
"I love and respect Chinese. I am very sorry for my mistake. I am so sorry, I apologise" @johncena
#Taiwan ni kisiwa kinachojitegemea, huku mji mkuu ni #Taipei ikiwa na idadi ya watu zaidi ya Milioni 23 chini ya kiongozi "Tsai Ingwen"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable