TANROAD WASISITIZA MATUMIZI SAHIHI YA SHERIA UBUNGO INTERCHANGE: Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD) Dar es salaam wamewataka watumiaji wa barabara kufuata Sheria za Barabarani kwa wenye vyombo vya moto na watembea kwa miguu ili kuepusha ajali zisizo za lazima hususan katika daraja la Kijazi Ubungo jijini Dar es Salaam walipotembelea leo kwa lengo la kuangalia matumizi yake ambayo ni tofauti na barabara za kawaida sambamba uwepo wa tatizo la watoto wa mitaani kuhamia katika eneo hilo.
TANROAD WASISITIZA MATUMIZI SAHIHI YA SHERIA UBUNGO INTERCHANGE: Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD)
0
May 26, 2021
Tags
