IMFyaidhinisha mkopo wa mamilioni ya dola kwa Angola

0


Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limeidhinisha mkopo wa dola milioni 772 kwa Angola kama sehemu ya mpango wa miaka mitatu uliotiwa saini chini ya makubaliano yaliyofikiwa mnamo mwaka 2018 kwa lengo la kuleta mageuzi katika uchumi wa nchi hiyo. Fedha hizo zitatolewa mara moja katika jumla ya mkopo wa dola bilioni 3.7. Mkopo huo utatumika kuboresha utawala bora, mnyumbuko wa kiuchumi na kuendeleza uchumi soko utakaochepuliwa na sekta binfasi. Sambamba na kutoa fedha hizo, shirika la IMF limesema litaipa Angola muda wa hadi mwisho wa mwaka huu ili kuanza tena kulipa riba za mkopo wake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable