Madatari wa Indonesia waambukizwa corona licha ya kuchomwa chanjo

0




Maafisa nchini Indonesia wamesema zaidi ya madaktari 350 wameambukizwa ugonjwa wa COVID 19, licha ya madaktari hao kuchomwa chanjo ya Sinovac. Madaktari wengine wengi wamelazwa hospitalini huku wasiwasi ukiendelea kujitokeza kuhusu ufanisi wa baadhi ya chanjo dhidi ya virusi vya corona na aina mpya ya virusi hivyo inayozidi kujitokeza. Badai Ismoyo, mkuu wa hospitali ya Kudus mjini Jarkata amesema madaktari wengi walioambukizwa hawakuwa na dalili zozote za corona na wengine walijiweka karantini, lakini wengine wengi walikuwa hospitalini humo wakiwa na homa kali na kupungua kwa viwango vyao kwa hewa ya Oksijeni. Hospitali hiyo inapambana na mripuko wa virusi hivyo unaosemekana kuchangiwa na aina mpya ya kirusi cha Delta.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable