Msanii Shilole na Mume wake leo ni miongoni mwa walioalikwa kutembelea Bunge la Tanzania kwa mwaliko wa Mbunge wa Viti maalumu Neema Lugangira.
Shilole ni miongoni mwa wasanii waliowahi kutangaza kuutaka Ubunge na kusema kama angegombea Jimbo lingekua kwao Igunga.

