WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 45 YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Bunge, David Kihenzile (kushoto) pamoja na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, Neema Kiula (kulia) walipotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam, Julai 6, 2021, Wengine ni Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingita kuanzia kushoto nyuma ni Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Getere, Mbunge wa Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea na Mbunge wa Lulindi, Issa Mchungahela

Mwenyekiti wa Bunge na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam,

Wajumbe Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira watembelea Banda la Bunge katika maonyesho ya 45 ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
 
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post