Rais wa Madagaska , Bwana Andry Ranoelina, ameiondoa nchi yake katika kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni.
"Ulaya iliunda Mashirika na hamu ya Waafrika kubaki kuwategemea.
Afrika imepata dawa dhidi ya virusi vya Corona lakini Ulaya wana ukiritimba wa ujasusi kwetu hivyo wanakataa kuitambua.
Kuanzia leo tumejitoa, hatuko tena wanachama wa Shirika la Afya Ulimwenguni. ".
"WHO ilinipa dola milioni 20 ili kuweka sumu kidogo katika dawa yangu ya Covid-19" - Rais wa Madagascar afichua WHO
Rais wa Madagaska Andry Rajoelina amedaiwa kutangaza , Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO lilimpa 20,000,000$ lengo aweze kuweka sumu kidogo katika dawa yao ya coronavirus wakati Wazungu walipokanya Dawa yao.
Andry Rajoelina anasema: "Watu wawe macho, Shirika la Afya Ulimwenguni ambalo tumejiunga nalo kwa kufikiria kuwa litatusaidia, liko kuua Waafrika."
"Nchi yetu ya Madagaska tumepata tiba sahihi ya korona lakini ukweli Wazungu wameniambia pendekezo la dola 20,000,000 za kuweka sumu katika dawa hii lengo kuua marafiki zangu wa Kiafrika ambao wataitumia.
Tags
bongo habari