Familia ya wahamiaji haramu yakutwa imekufa katika theruji Canada

0


 

Polisi ya Canada imeipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani.

Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji walipokuwa wakijaribu kuingia nchini Marekani kinyume cha sheria.

Imetambuliwa kuwa familia iliyoangamia kwenye theruji ilikuwa ni ya Dingucha, raia wa India kutoka Gujarat Kaskazini iliyokuwa imekwenda ng;ambo na kupotea.Serikali ya India haijatoa kauli bado kuhusiana na tukio hilo.

Hatahivyo Waziri wa mambo ya nje wa India alituma ujumbe wa Twitter akielezea kusikitishwa kwake na tukio lililotokea kwenye mpaka wa Canada:

 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable