MKE MDOGO AMUUA MKE MKUBWA WAKIGOMBEA ZAMU YA KULALA NA MUME.......

0

 


 

Kutoka huko Nigeria mke mdogo aliyetambulika kwa jina la Rebecca amemuua mke mwenzake aitwae Precious wakati wanagombania zamu ya kulala na mume.
 
Inadaiwa kuwa siku hiyo mume alikuwa kwa mke mkubwa ndipo mke mdogo alipofunga safari hadi hapo nakudai anahitaji mume aende kwake nae akapate haki yake ndipo vita ya kurushiana maneno ilipoanza ambapo katika ugomvi huo mke mdogo alimchoma mwenzake kisu.
 
Mke mkubwa alifariki wakati akikimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu, mke mdogo amekiri kufanya kosa na ameomba Mahakama imsamehe akidai hakukusudia kufanya mauaji hayo bali alikuwa akidai nae apate haki yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable