Moja Kati Ya Vitu Ambavyo Ameviandika Msanii @burnaboygram Baada Ya Kupata Ajali Usiku

0

 

 


 

Moja Kati Ya Vitu Ambavyo Ameviandika Msanii @burnaboygram Baada Ya Kupata Ajali Usiku Wa Kuamkia Leo Ni Baada Ya Kupata Ajali Watu Waliokuwa Eneo La Tukio Walianza Kumrekodi Video Kabla Ya Kutoa Msaada Kwake Jambo Ambalo Sio Sawa.
-
-
Muigizaji Na Mfanyabiashara @wolperstylish Naye Ametia Neno Kwenye Suala Hilo Ambalo #BURNA Amelizungumzia Kwenye Insta Story Yake Kuhusu Kurekodiwa Na Watu Badala Ya Kupewa Msaada, #WOLPER Amepost Alichokiandika Msanii Huyo Na Kuandika......."Hili Ni Tatizo La Dunia Kwa Sasa Msaada Wa Kwanza Ni Kavidio

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable