Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema hatarajii mabadiliko yoyote kutoka kwenye mkutano utakaofanyika kesho Jumatatu lakini amekubali kama majaribio,

0

 

 


 

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema hatarajii mabadiliko yoyote kutoka kwenye mkutano utakaofanyika kesho Jumatatu lakini amekubali kama majaribio,
-
Volodymyr Zelensky, "Nitasema kwa uwazi, kama kawaida, sina imani kabisa na matokeo ya mkutano huu, lakini waache wajaribu, Ili kusiwe na raia wa Ukraine ambaye atakuwa na shaka kwamba mimi, kama rais, sikujaribu kuzuia vita wakati kulikuwa na nafasi ndogo, Na huku wenzetu wakiwa huo, mimi rais niko hapa, mkuu wa majeshi yuko hapa, waziri mkuu yuko hapa, jeshi liko hapa, amiri jeshi mkuu. Sote tutalinda nchi na mipaka yetu".
-
Leo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ukraine Evgeny Yenin alisema mazungumzo kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine yatafanyika Jumatatu asubuhi kwa saa za huko.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable