Msanii @mbosso_ Amepost Picha Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Na Kuandika........."Single Boy Forever" Jambo Ambalo Limezua Maswali Kwa Baadhi Ya Mashabiki Zake Kutaka Kujua Ni Nini Kimemsibu Katika Mapenzi Hadi Kutaka Kuwa Singo Siku Zote?
Achilia comment juu ya hili
#bongohabari
