Afisa mkuu wa ulinzi wa Marekani Amethibitisha kuwa rais wa Urusi Vladimir Putin ametumia theluthi mbili ya nguvu zote za kijeshi

0

 

 


 

Afisa mkuu wa ulinzi wa Marekani Amethibitisha kuwa rais wa Urusi Vladimir Putin ametumia theluthi mbili ya nguvu zote za kijeshi za Urusi zilizotayarishwa kwa uvamizi wa Ukraine na bado ana theluthi moja nje ya Ukraine, ambayo inanguvu kubwa.
-
Afisa huyu pia amesema hadi leo asubuhi majeshi ya Urusi yamerusha zaidi ya makombora 320 ambayo makombora hayo Mengi ni makombora ya masafa mafupi 'Short-Range Ballistic Missiles'. Tambua Urusi inazaidi ya Makombora ya umbali tofauti 6,000 kwenye store yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable