Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la nchini Ukraine ambayo imechapisha kwenye ukurasa wake wa Faceebook wameeleza kuwa wanajeshi 3,500 wa Urusi waliohusika katika uvamizi nchini humo wameuawa. na kwamba mpaka sasa urusi imeshapoteza ndege 14, helikopta 8, na mizinga 102.
