Taarifa zilizotufikia hivi punde Mtoto Erickson Kimaro mwenye umri wa miaka nane amedaiwa kuuawa kwa kunyongwa na msichana wa kazi nyumbani kwake Kimara Temboni Dar es Salaam.
Source: ITV