AHMEDY ALLY APATWA KIGUGUMIZI BAADA YA KUULIZWA JUU YA TETESI ZA UJIO WA KOCHA MPYA KUTOKA APR YA RWANDA

0

 



Baada ya kufukuzwa Kocha Pablo Franco katika klabu ya Simba, inaelezwa kuwa huenda klabu hiyo inajiandaa kumchukua Kocha Mkuu wa klabu APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi ili aje kuwa Kocha wao mpya msimu ujao
Akizungumza na Gazeti la Sports Xtra,Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally alipoulizwa juu ya ishu hiyo ya kocha alijibu kwa kusema hana taarifa hiyo kwani haijamfikia mezani kwani
Alisema Ahmedy Ally
“Suala hilo siwezi kusema kama lipo au halipo kwa sababu bado halijafika kwangu.Kuhusu ishu ya Pablo, ni kweli hajafikia malengo kwa sababu hatujafuzu nusu fainali ya michuano ya kimataifa wala kutetea ubingwa..."
Kwa habari kemkem za kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha follow blog hii

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable