Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu amesema sheria ya Udhibiti wa bidha za Tumbaku, imezuia matumizi ya baadhi ya bidhaa za Tumbaku kama vile Shisha, Ugoro na Sigara za Kielektroniki, hivyo ameielekeza TMDA kufanya tathmini baadhi ya bidhaa za Tumbaku ikiwemo Shisha, Ugoro na Sigara za Kielektroniki ili kuona namna ya kupunguza au kusitisha kabisa matumizi ya bidhaa hizo ili kulinda afya ya jamii.
Source: Itv
