Mkuu wa Tawi la Utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali Hassan Mabena amewaita vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka huu kutoka shule zote za Tanzania Bara kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo kwa mujibu wa sheria.
Brigedia Jenerali Mabena ametoa wito huo leo Jumanne Mei 31, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafunzo hayo kwa mwaka huu, akiwataka kuanza kuripoti kuanzia Juni 3 hadi 17 katika makambi waliopangiwa.
Kuona majina ya waliochaguliwa bofya link hii
