Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuwa kodi ya pango hulipwa kama kodi ya zuio inayotokana na mapato ya pango la nyumba kwa asilimia 10.
“Tunapenda kuwafahamisha Wananchi kuwa kodi hiyo sio mpya bali wigo umeongezwa ili Wapanganishaji wa nyumba binafsi kama ilivyokuwa kwa wenye nyumba za biashara nao wamejumuishaa kwenye wigo wa kodi kuanzia July Mosi 2022”
Tags
bongo habari
