"Machinga anaambiwa anunue EFD mashine Tsh 580,000, akitoa hela hiyo kwenye meza yake atabaki na nini? na hiyo mashine ataihifadhi wapi?, sababu biashara yake ni juani na kwenye mvua, umempa mazingira gani ya yeye kuwa na mashine hiyo?,"- Steven Lusinde, Mkuu wa Machinga Kariakoo
"Idadi ya wamachinga tuliowasajili kwenye kanzidata kwa Kariakoo wapo kama elfu 8 kwa makadirio tupo zaidi ya elfu 10 na kwa Tanzania nzima wamachinga wapo kama Mil 25 hivi, nusu ya Watanzania ni wajasiriamali wadogo maarufu wamachinga,"- Steven Lusinde, Mkuu wa Machinga Kariakoo
#SupaBreakfast
#EastAfricaRadio
