WACHINA WATENGENEZA KIFAA CHA KUPIGA BUSU KWA AJILI YA WAPENZI AMBAO WANA MAHUSIANO YA MBALI

0

 #MsasaTrending WACHINA WATENGENEZA KIFAA CHA KUPIGA BUSU KWA AJILI YA WAPENZI AMBAO WANA MAHUSIANO YA MBALI


Ukistaajabu wa Musa utayaona ya Firauni unaambiwa Wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi na Teknolojia cha Changzhou, nchini China wamegundua kifaa cha kupiga busu kwa watu ambao wapo kwenye mahusiano ya mbali (Long Distance Relationship)


Kifaa hicho maalum kwa wapenzi kudumisha mawasiliano ya kimwili wanapokuwa mbali, ambapo mtumiaji atatakiwa kupakua application ya kifaa hicho kwenye simu yake na kuchomeka kifaa cha kubusu kwenye simu yake.


Mtumiaji ataweza kuwasiliana na mtu wake kwa njia ya video na kuweza kumbusu na kusikia sauti kutoka kwa mtu anayembusu.


#MsasaKisasaZaidi #HabariSaa24.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable