SIFA 15 ZA MKE MPUMBAVU

 SIFA 15 ZA MKE MPUMBAVU






1.Anamkomoa mumewe


2.Analala mapema kabla ya mumewe.


3.Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.


4.Mbishi, anahisi kuonewa muda wote


5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa.


6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu Mafanikio ya familia za watu.


7.We unajenga familia ye anajenga Kwao. 

8.Mkikaa tuu anaanza umbea kuponda Ndugu na majirani


9.Anajali ajira/biashara yake hataki kufuatiliwa mambo yake.


10.Ni mzito katika mambo ya ibada wakati mwengne anadanganya kuwa kafanya kumbe hajafanya.


11.Anaona tabu kupangiwa mambo na mumewe anatamani yeye ndo awe mpangaji mambo kwa mumewe.


12.Hatosheki mumewe kuona uzuri na mapambo yake bali anatamani wengine waone apate sifa.


13.Hataki mmewe aoe mke mwingine wakati yeye kashindwa kusimama kama mke bora.❌❌


14.anawaza pesa tu na maisha ya kifakhari,hawazi akhera wala namna ya kupata pepo✈


15.Ni mzururaji,safari hazimuishi kila mara anaomba ruhusa akinyimwa ananuna..


SHARE sana, wajifunze

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post