Msanii wa Bongo Fleva @officialnandy ameamua kuweka wazi kuhusu taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa amegombana na mume wake @billnass baada ya kumfumania na mwanamke mwingine.
Nandy ameeleza kwenye post yake kuwa hajawahi kumuona au kumfumania Mume wake na Mwanamke mwngine hata kama wakigombana.
https://youtu.be/JiZvsD9kfxo?si=heshW_uSGX2uoq7P
Tags
bongo habari