Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya PSG Ousmane Dembele ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia ya Ballon d’Or 2025 baada ya kuwa na msimu wa mafanikio ambapo ndani ya mwaka 2025 amefanikiwa kutwaa Mataji kadhaa yakiwemo ya Ubingwa wa Ligue1, UEFA Champions League na UEFA Super Cup. #MillardAyoUPDATES
Tags
africa news