Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema bado hajaruhusu Wataalamu wa Afya wampe chanjo ya Corona na wala Mkewe Janeth Museveni hajachanjwa hiyo chanjo ya Corona kwakuwa anataka chanjo hiyo waanze kupewa Watu ambao wanaugua Corona.
“Sababu nyingine inayonifanya nisikubali kwa sasa kupewa chanjo ya Corona ni kwasababu Mimi ni mwangalifu na nina ulinzi mkubwa kutoka kwenye mfumo wa kiusalama, pia naendelea kuangalia ni chanjo ipi ni nzuri zaidi kuitumia”- MUSEVENI
#MillardAyoUPDATES
