#UNAAMBIWA: Nchini India kuna Kijiji ambacho kuna Watu wanaishi bila kuweka milango kwenye nyumba zao na hata kwenye maduka, Bank, Shule na biashara nyingine kote hakufungwi na hakuna anayeibiwa, Kijiji kinaitwa Shani Shingnapur na wanaacha bila kufunga kwa kuamini kuwa mungu wanayemuabudu anawalinda na majanga, Je kwa uzoefu wako ni sehemu gani Tanzania kuna usalama kiasi kwamba hakuna haja ya milango?
