Fainali Ligi Daraja la Kwanza
Baada ya Mbeya Kwanza kumaliza vinara Kundi A na Geita Gold kumaliza vinara Kundi B, leo Jumapili saa 9:30 Alasiri wanakutana katika dimba la Uhuru kumtafuta bingwa wa ligi daraja la kwanza.
Je, ni Mbeya Kwanza ama Geita Gold nani kuibuka bingwa?
Kwa kifurushi cha shillingi 9,000 kwa Wiki au 20,000 kwa mwezi unatazama fainali hii live kupitia #AzamSports1HD.
