#UNAAMBIWA: Mwaka 2005 Shabiki kindakindaki wa Liverpool Mark Houghton (43) alijinyonga wakati wa Half Time,

0

 


#UNAAMBIWA: Mwaka 2005 Shabiki kindakindaki wa Liverpool Mark Houghton (43) alijinyonga wakati wa Half Time, nyumbani kwake baada ya kile kilichodaiwa chanzo ni Timu yake kupigwa 3-0 na Ac Milan kwenye Fainali za Champion League, baadaye wakati wa kipindi cha pili Liverpool ilikuja na nguvu zote na ikaibuka Mshindi baada ya Mechi kwenda hadi hatua ya Penalties.
Mark alikutwa usiku na Mpenzi wake Jacqueline akiwa amejinyonga kwa kutumia mkanda usiku May 25,2005 katika eneo la Darwen, Lancashire, Uingereza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable