Baraza la Kiarabu lapinga hukumu ya kifo Misri

0


Baraza la Kiarabu lilitaka jumuiya ya kimataifa na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu kukomesha adhabu ya kifo kwa Wamisri 12 waliopinga mapinduzi  ikiwa ni pamoja na viongozi mashuhuri wa Ikhwanul Muslimin (Ikhwan).

Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na Baraza hilo likiongozwa na Rais wa zamani wa Tunisia Munsif al-Merzuki na kutetea haki ya watu wa Kiarabu kwa uchaguzi wa kidemokrasia, ilielezwa kuwa "maamuzi ya kushangaza" yaliyotolewa na mahakama ya Misri juu ya viongozi wa Ikhwan yalikemewa vikali .

Katika taarifa hiyo, jumuiya ya kimataifa na mashirika ya haki za kibinadamu waliombwa kuchukua hatua ili kuzuia utekelezwaji wa hukumu ya kifo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

About Us

Light Speed Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are available Which is designed in User friendly to handle by Piki Developers. Simple and elegant themes for making it more comfortable